Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 4 | KUT ENDA HAK I NA KUPENDA REHEMA : HAK I NA I SHUKE / 451

kwa hiyo, wanadamu wote, bila kujali hali zao binafsi au za kijamii, ni wa pekee, wa thamani, na wenye thamani ndani yao wenyewe .

• Maana ya kibiblia wa imago Dei katika wanadamu inabadilisha ufahamu wetu kuhusuu wanadamu.

Wameumbwa kwa mfano wa Mungu mwenyewe, wamevikwa taji ya utukufu na heshima, wameumbwa kwa njia ya kutisha na ya ajabu, na hustawishwa kwa upaji wa Mungu. Kwa namna hiyo, wanadamu wamefanywa kuwa walengwa wa kibali na neema ya bure ya Mungu, isiyo na masharti, na yeye mwenyewe anahusika na mapambano, mahitaji, na mizigo hata ya wanadamu walio wanyonge zaidi duniani. • Wanadamu, bila kujali historia zao, wanaweza kubadilishwa na kufanywa upya kiasi cha kuwa washiriki wa asili ya kiungu kupitia imani katika Yesu Kristo. Ingawa wale wanaomkataa Kristo hawashiriki katika kufanywa upya kwa sura hii ya Mungu, bado wanashiriki sura ya Mungu kama wanadamu wengine . • Msingi wa kutenda haki na kupenda rehema miongoni mwa maskini mjini ni uthibitisho wa imago Dei katika kila mvulana, msichana, mwanamke, na mwanamume. Kila mtu anastahili kutunzwa kwa sababu anashiriki imago Dei isiyo na kifani, ya kipekee, na isiyo na mbadala.

I. Imago Dei : WanadamuWanashiriki Mfano wa Mungu.

Muhtasari wa Maudhui ya Video

4

A. Ufafanuzi wa imago Dei

U T U M E K A T I K A M I J I

1. “Hali ya upekee wa wanadamu wote kwamba wameumbwa kama Mungu na kwa hivyo wanastahili heshima, ulinzi, na utunzaji wetu.”

2. Mwanzo 1:26-28 kama kifungu cha asili kinachohusika na wanadamu kushiriki sura na mfano wa Mungu. Mwa. 1:26-28 – Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. 27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. 28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni,

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker