Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
452 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
a. Uthibitisho wa kipekee: hakuna viumbe hai vingine vinavyosemekana kuwa viliumbwa kwa mfano wa Mungu.
b. Baadhi wametoa hoja zao kwamba malaika wanashiriki sura hii (kwa sababu ya kuwa na sehemu katika uadilifu wa kitabia).
c. Hakuna Andiko linalounga mkono maoni haya ya malaika kuumbwa katika imago Dei .
d. Viumbe vina asili yake kutoka kwa Mungu, wanadamu wana asili yao ndani ya Mungu (rej. Mdo. 17:28-29).
3. Mwanadamu akawa nafsi hai: Mwa. 2:7.
a. Si kwamba kulikuwa na kiumbe hai hapo awali ambacho baadaye kilikuja kushiriki mfano wa Mungu.
4
U T U M E K A T I K A M I J I
b. Sura ya Mungu haikutokana na mchakato wa mageuzi (kuanzia kwenye hali duni hadi kuwa bora).
c. Mara tu mwanamume na mwanamke walipokuwa wanadamu, walikuwa ni mfano wa Mungu papo hapo, Mwa. 1:27.
B. Matumizi ya Biblia ya neno mfano wa Mungu
1. Nukuu za Biblia
a. Mwa. 5:1
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker