Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 4 | KUT ENDA HAK I NA KUPENDA REHEMA : HAK I NA I SHUKE / 453

b. Mwa. 9:6

c. 1 Kor. 11:7

d. Yak. 3:9

2. Nukuu kuhusu kuumbwa kwetu upya

a. Efe. 4:24

b. Kol. 3:10

C. Sura ya Mungu katika wanadamu ni nini hasa?

1. Wanadamu waliumbwa kutoka katika mavumbi ya ardhi : undugu wetu na dunia, Mwa. 2:7

a. Tuna uhusiano wa karibu na bidhaa na rasilimali za dunia : tunahitaji hewa, maji, na chakula ili kuishi.

4

U T U M E K A T I K A M I J I

b. Muundo na utendaji wetu vinafanana na viumbe vingine vinavyoitegemea dunia kwa ajili ya maisha na uwepo wao.

c. Sura ya Mungu haimo katika asili yetu ya kimwili na uhusiano wetu na dunia.

2. Sura ya Mungu inatazamwa kutoka kwenye mtazamo wa haiba zetu na hali ya kiroho .

a. Haiba yetu : tunafanana na Mungu katika hali ya kujitambua kwetu.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker