Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 4 | KUT ENDA HAK I NA KUPENDA REHEMA : HAK I NA I SHUKE / 455

1. Kuumbwa kwa mfano wa Mungu (viumbe vingine vyote viliumbwa na Mungu lakini si kwa mfano wake).

2. Amepewa mamlaka juu ya viumbe vyote.

3. Wanadamu walipoumbwa, mwanamume na mwanamke, walipewa hadhi na nafasi iliyotukuka.

4. Walipewa agizo la kuzaa na kuongezeka.

5. Maana yake: Kila mwanadamu, licha ya hadhi au hali yake ya kijamii, ameumbwa kwa mfano wa Mungu, taswira ya ufahamu na nafsi ya kiungu, kielelezo cha mawazo makuu ya Mungu mwenyewe na uwezo wake wa uumbaji .

B. Wanadamu wamevikwa taji ya utukufu na heshima. Zab. 8:3-7 – Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, Mwezi na nyota ulizoziratibisha; 4 Mtu ni kitu gani hata umkumbuke, Na binadamu hata umwangalie? 5 Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu; Umemvika taji ya utukufu na heshima; 6 Umemtawaza juu ya kazi za mikono yako; Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake. 7 Kondoo, na ng’ombe wote pia; Naam, na wanyama wa kondeni;.

4

U T U M E K A T I K A M I J I

1. Amefanywa mdogo punde kuliko malaika.

2. Amevikwa taji ya utukufu na heshima.

3. Amepewa mamlaka juu ya kazi za mikono ya Bwana.

4. Vitu vyote vimewekwa chini ya miguu ya wanadamu.

5. Hili ni dokezo la utawala wa Masihi Yesu, taz. Zab. 110:1; 1 Kor. 15:24-28; Efe. 1:22; Ebr. 2:8.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker