Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
460 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
a. Gal. 1:3-4
b. 1 Yoh. 5:4-5
c. 1 Yoh. 5:19-20
5. Kristo atakaporudi kwa ajili ya walio wake, sisi tunaoamini tutashiriki utukufu na sura yake mwenyewe.
a. 1 Yoh. 3:2
b. Zab. 17:15
c. Rum. 8:29
d. 1 Kor. 15:49
e. Flp. 3:21
4
U T U M E K A T I K A M I J I
6. Maana: Mara baada tu ya kukombolewa, mwanadamu ana uwezo usio fikirika: tunaweza kushiriki asili ya kiungu, Mungu mwenyewe anakaa ndani yetu, tunashiriki katika maisha na utukufu wake .
III. Umuhimu wa Imago Dei kwa ajili ya Huduma ya Mjini
A. Kwa njia ya imani katika Yesu Kristo, tumeumbwa upya katika sura ya Mungu.
1. Nukuu za Biblia
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker