Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 4 | KUT ENDA HAK I NA KUPENDA REHEMA : HAK I NA I SHUKE / 461
a. Efe. 4:24
b. Kol. 3:10
2. Tumeumbwa katika haki na utakatifu wa kweli, tukikusudiwa kufananishwa na sura ya Yesu Kristo, Rum. 8:29.
3. Kama vile anguko lilivyoathiri sura ya Mungu katika wanadamu kwa njia ya uharibifu na kifo, ndivyo wokovu unavyopelekea kufanywa upya kwa sura hiyo baada ya kufanana na Yesu Kristo mwenyewe.
a. Yesu ndiye anayeshiriki sura ya Mungu kipekee, 2 Kor. 4:4; Kol. 1:15; Ebr. 1:3.
b. Yesu ndiye Adamu wa mwisho, kielelezo cha ubinadamu mpya ujao, Rum. 8:29.
c. Sura ya Yesu Kristo inaundwa ndani ya Mkristo na Roho Mtakatifu, 2 Kor. 3:18; rej. Efe. 4:24; Kol. 3:10.
4
U T U M E K A T I K A M I J I
B. Ingawa wasioamini hawashiriki katika kufanywa upya huku kwa sura ya Mungu ndani yao, bado wanashiriki katika sura halisi ya Mungu.
1. Kwa hiyo, maisha ya mwanadamu ni ya kipekee, yasiyo na mbadala, na ya thamani.
2. Kutenda haki na kupenda rehema, hata kwa wale wasiomjua Kristo, ni wajibu wetu tena ni lazima.
3. Kila mwanadamu ni wa thamani sana na anastahili kupendwa, kulindwa, na kutunzwa.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker