Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 2 | KAZ I HATAR I SH I YA KUPAMBANA NA UMASK I N I / 47

Hitimisho Kazi Hatarishi ya Kupambana na Umaskini inaelezea aina ya kazi ya kupambana na umaskini ambayo kwa asili hutokana na asili yetu ya dhambi. Ili kujitambua zaidi kwa habari ya mielekeo yetu ya upendeleo na ubaguzi, ni lazima tufanye upya fikra zetu kuhusu namna tulivyozoea kufanya kazi ya kupambana na umaskini, tukubali kwa uhuru pale ambapo tumeshiriki katika kufanya kazi hatarishi ya kupambana na umaskini, na kutambua kwa umakini viashiria vy kazi hatarishi ya kupambana na umaskini ili kujilinda dhidi ya kushiriki zaidi katika kazi za aina hiyo. Maswali yafuatayo yalikusudiwa kukusaidia kutafakari kuhusu maudhui yaliyomo katika Kanisa Lisilo la Kawaida , Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini , na video ya Kazi Hatarishi ya Kupambana na Umaskini . Jibu kwa uwazi na kwa ufupi (tafakari maswali haya na uyajibu katika Jukwaa na uwe tayari kuyajadili katika mkutano wetu wa ana kwa ana). 1. Je, umewahi kuishi katika umaskini? Je, uzoefu wako huo (au kutokuwa na uzoefu huo) unaathiri vipi uelewa wako wa umaskini? 2. Je, ni rahisi au ngumu kiasi gani kwako kukubali kwamba ikiwa umeshiriki katika Kazi ya Kupambana na Umaskini, wakati fulani, umefanya Kazi Hatarishi ya Kupambana na Umaskini? 3. Ni nini kimevutia umakini wako kuhusu mada hii? Kwa nini? 4. Katika mizani ya moja hadi kumi, moja ikimaanisha “sio nyingi” na kumi ikimaanisha “sana,” weka nambari inayoonyesha mahali ulipo kuhusu kazi hatarishi ya kupambana na umaskini. Tafakari kuhusu nambari uliyochagua. 5. Ni masuala gani ambayo unahitaji kushughulikia kibinafsi kama matokeo ya kusoma maudhui haya?

Ukurasa wa 34  6

Maswali kwa Mwanafunzi na Majibu Ukurasa wa 34  7

2

K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I

UHUSIANISHAJI

Somo hili linatoa theolojia ya vitendo kuhusiana na utendaji wa kazi hatarishi ya kupambana na umaskini. • Kazi ya kupambana na umaskini yenye afya huanza pale tunapokabiliana na udhaifu wa msingi uliojengeka katika kazi yetu – imani thabiti kwamba tunaweza kuwaokoa watu kutokana na hali zao inayoitwa “ugonjwa wa mwokozi”.

Muhtasari ya Dhana Kuu

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker