Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
50 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
Ili kujiandaa na somo lijalo, tafadhali soma yafuatayo: • Kazi ya Kiukombazi dhidi ya Umaskini
Kazi za Usomaji
– “Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini” (uk. 31-36) • Kanisa Lisilo la Kawaida: Mabadiliko ya Jamii kwa Manufaa ya Wote – Sura ya 4: Watu wa Mungu: Mpango wa Mungu kwa Ulimwengu Ulioharibika – Sura ya 8: Kupambania Jamii: Uwawezeshaji wa Viongozi na Wafanyakazi Mashinani – Sura ya 10: Ufalme Uko Ndani Yetu
Jiandae kwa Jaribio . Utaulizwa maswali kuhusu maudhui ya somo hili baada ya Mkutano wa Ana kwa ana. Hakikisha kwamba unatumia muda kupitia maudhui uliyojifunza na madokezo yako, hasa ukikazia fikira mawazo makuu ya somo.
Kazi Zingine
2
K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I
Somo la tatu, Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini , inafafanua lengo la shughuli zetu. Tutachunguza aina tatu za kazi ya kupambana na umaskini zilizopo na jinsi mwitikio wetu kwa kazi ambayo Kristo amefanya msalabani unapaswa kututamanisha kujielekeza katika ukombozi wa maisha ya watu na mitaa yetu.
Kuelekea Somo Linalofuata
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker