Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
504 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
10. Ni mawazo gani hasa unayo kuhusu wito wako wa huduma binafsi unapohudumia kanisa katika eneo hili? 11. Je, kusoma na kuandika kwako kazi zako za darasani kunaathiri vipi jinsi unavyoona huduma yako kanisani? 12. Ni aina gani ya mafunzo au mchango unaohisi unahitaji ili kutumika kwa ubora zaidi katika nyanja hii ya utumishi? 13. Je, ni aina gani za maswali ya kitheolojia au ya kibiblia yanakujia wakati huu katika huduma hii? 14. Je, ni maendeleo gani unayofanya katika kufahamu tofauti zetu za kimafundisho na/au sera za kiutawala za kimadhehebu (au usharika)? Je, kuna jambo lolote linalohitaji kufafanuliwa? 15. Ni sehemu gani mbili za ukuzi ambazo unanuia kukazia kabla ya mkutano wetu ujao wa usimamizi na tathmini? 16. Je, kuna kitu kingine chochote unachohitaji nikusaidie?
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker