Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

54 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

umaskini zilizopo na jinsi mwitikio wetu kwa kazi ambayo Kristo amefanya msalabani unapaswa kututamanisha kujielekeza katika ukombozi wa maisha ya watu na mitaa yetu. Malengo yetu ya somo hili, Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini , ni kukuwezesha: • Kufanya upya uelewa wako wa dhana ya ukombozi. • Kutafakari jinsi kazi yako ya kupambana na umaskini inaweza kuwa ya ukombozi. • Kutofautisha kazi ya kiukombozi dhidi ya umaskini na aina nyinginezo.

I. Mitazamo Mitatu Tofauti katika Namna Tunavyoiendea Kazi ya Kupambana na Umaskini

Muhtasari wa Maudhui ya Video

Ukurasa wa 38  2

Kazi ya kiukombozi Kazi ya kimaadili Kazi ya kinyonyaji

3

K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I

A. Mtazamo wa Unyonyaji: kuleta madhara zaidi kuliko mema (Neh. 5:1-7).

1. Watu wanaweza kuwa na nia njema ila wakashindwa kuelewa vizuri ugumu wa umaskini.

2. Kazi ya umaskini inaweza kutufanya kuwa na hisia ya kudhani kuwa sisi ni bora kimaadili na tuna haki ya kutawala maisha na maamuzi ya wengine.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker