Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
56 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
III. Jukumu letu kamaWafanyakazi wa Kiukombozi dhidi ya Umaskini
Ukurasa wa 41 4
A. Umaskini ni hali ya uonevu ambayo watu wanaishi, si utambulisho walio nao.
1. Tuna wajibu wa kujaribu kuboresha hali za maisha ya wale wanaoishi katika hali hii (1 Yoh. 3:16-17).
2. Tunajenga msingi wa utetezi ( advocacy ) wetu katika kuelewa kwamba sisi sote tunahitaji kuokolewa kwa sababu sisi ni wanadamu walioanguka na tunaakisi mshikamano wa kina na wale wanaoishi katika hali ya umaskini (1Kor 9:22-23).
3. Tunaweka imani yetu katika kazi isiyo ya kawaida ya Mungu wakati tunajaribu kupanga upya nguvu za kimfumo za kibinadamu (Efe 6:12-13).
3
4. Jukumu letu katika mchakato wa ukombozi ni utetezi wa unyenyekevu, kuomba msamaha pale ambapo ajenda zetu wenyewe zinapigania kutambuliwa, na kukubali kushiriki kwetu katika udhalimu (Yakobo 2:1-13).
K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I
B. Hatimaye, lengo la mtenda kazi wa harakati za kiukombozi za kupambana na umaskini ni kuja pamoja na wale wanaoishi katika hali ya umaskini na kujiunga katika kazi ambayo Mungu tayari anafanya katikati yao.
Hitimisho Tumefafanua Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini kama lengo na kusudi la kazi yetu ya kupambana na umaskini. Tumeona jinsi Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini inavyotofautiana na miundo na utendaji wa Kiunyonyaji na ule wa Kimaadili. Kupitia ufahamu wetu wa kazi ya Kristo msalabani, sasa tunaweza kuitikia kwa njia inayoakisi ukombozi katika namna tunavyowatendea wengine, tukiwa na matarajio mapya kupitia mfumo wenye msingi wa ukombozi kuelekea watu wanaoishi katika mitaa yenye umaskini.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker