Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 3 | KAZ I YA K I UKOMBOZ I DH I D I YA UMASK I N I / 57

Maswali yafuatayo yalikusudiwa kukusaidia kutafakari kuhusu maudhui yaliyomo katika Kanisa Lisilo la Kawaida , Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini , na video ya Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini . Jibu kwa uwazi na kwa ufupi (tafakari maswali haya na uyajibu katika Jukwaa na uwe tayari kuyajadili katika mkutano wetu wa ana kwa ana). 1. Je, ukombozi umebadilishaje maisha yako binafsi? 2. Je, dhana ya kazi ya kiukombozi dhidi ya umaskini inamaana yoyote kwako? Elezea kwa nini au kwa nini sivyo. 3. Toa mfano wa kazi ya kupambana na umaskini katika mtazamo wa kinyonyaji. 4. Toa mfano wa kazi ya kupambana na umaskini katika mtazamo wa kimaadili. 5. Kuna tofauti gani kuu kati ya kazi kupambana na umaskini katika mtazamo wa kimaadili na ule wa kiukombozi? Somo hili linatoa theolojia ya vitendo kuhusiana na utendaji wa kazi ya kiukombozi ya kupambana na umaskini. • Dhambi inakandamiza na Kristo alitoa jawabu kwa njia ya ukombozi. • Mawazo yetu huamua aina ya kazi ya kupambana na umaskini tunayofanya. • Umaskini ni hali, si utambulisho. • Tofauti kuu kati ya kazi ya kiukombozi dhidi ya umaskini na aina nyingine ni aina msukumo nyuma ya kazi husika. • Mungu ana mpango kwa ajili ya ulimwengu ulioharibika. Mpango huo ni watu wa Mungu katika kazi ya utume.

Maswali kwa Mwanafunzi na Majibu Ukurasa wa 42  5

KUJENGA DARAJA

Muhtasari wa Dhana Kuu

3

K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I

Sasa ni wakati wako wa kujadili na wanafunzi wenzako maswali yako kuhusu somo letu, Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini. Je, una maswali gani, ukizingatia mambo ambayo umejifunza hivi punde?

Kutendea Kazi Somo na Matokeo yake kwa Mwanafunzi

MFANOHALISI

Baada ya kukamilisha somo hili, rejea mfano halisi ulioelezwa hapo awali katika somo hili. Je, unaweza kutoa jibu gani la tofauti, kwa kuzingatia maudhui ya somo hili?

Ukurasa wa 43  6

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker