Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 4 | MI ENENDO YA MA I SHA NA KAZ I YA KUPAMBANA NA UMASK I N I / 65
kikamilifu katika maisha ya kanisa la mahali pamoja lenye afya, na kushirikiana na wale tunaowahudumia kwa kutafuta uwezeshaji, upendo, umoja, na ukomavu katika Kristo.
2. Safari ya Pamoja . Tunajitoa kushiriki safari ya kiroho pamoja katika mwenendo thabiti wa kufuata desturi na mazoezi ya kiroho. Hii ni pamoja na nyakati maalum za maombi, kupokea ushirika, na kuzingatia kalenda ya Kanisa. 3. Nidhamu ya Pamoja . Tunashiriki utambulisho unaozingatia kufuata nidhamu za kiroho za kanisa mara kwa mara na kwa bidii. Tutajitahidi kutafuta ukomavu wa kiroho na kufanana na Kristo tunapomtafuta Bwana katika nidhamu zetu binafsi za sabato, muda binafsi wa kujitenga, zaka, na kufunga. 4. Ungamo la Pamoja . Tunakiri uaminifu wetu kwa imani ya kihistoria, kanuni zilizoelezwa katika Tamko la Imani la Nikea, na ushuhuda ambao umejikita katika Maandiko kuhusu kifo, kuzikwa, na ufufuo wa Yesu Kristo. Tunashikilia sana kujitoa kwetu kwa Kweli ya ujumbe wa Injili kama inavyohusiana na Mapokeo Makuu ya Kanisa.
4
B. Matendo Yetu ya Kiroho : Pamoja na maisha yetu ya kiroho ya pamoja, tunakumbatia matendo ya kiroho yafuatayo:
K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I
1. Ushirika wa Kanisa (Ebr. 10:24-25). Kazi yetu ya kupambana na umaskini hutuweka katika jaribu la
Ukurasa wa 46 3
kuona utetezi kama kitovu cha kazi yetu badala ya kanisa la mahali pamoja. Kukosa kushiriki katika maisha ya kanisa la mahali pamoja kunaweza hatimaye kusababisha kutengwa na jumuiya ya Kikristo na kudhoofika kwa imani yetu hata kufikia hatua ya kurudi nyuma na kuacha imani.
a. Badala ya kuweka imani yetu katika utetezi pekee, tunajitoa kuwa washirika hai ndani ya kanisa lenye afya, la mahali pamoja kwa madhumuni ya ushirika, mafundisho, maombi, huduma, na maendeleo binafsi.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker