Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

66 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

b. Dhamira ya Msingi : Dhamiria kutafuta kanisa la mahali pamoja na kuhudhuria ibada ya kila wiki.

c. Dhamira ya Juu : Dhamiria kuwa mshiriki hai wa kanisa la mahai pamoja, kuhudhuria kila wiki, kushiriki maisha na washirika wengine wa kanisa kupitia kikundi kidogo, na kushiriki katika uongozi.

2. Nyakati Mahususi za Maombi (Zab. 55:17, 119:164; Dan. 6:10). Sala hutukumbusha juu ya uwezo wa Mungu usio wa kawaida. Kazi yetu ya kupambana na umaskini inaweza kutuhadaa kufikiria kwamba dhuluma zinazowazunguka walengwa wa huduma zetu na mitaa yao ni nyingi sana kiasi kwamba hatuwezi kuzishinda.

Ukurasa wa 47  4

a. Badala ya kuona mazingira kuwa magumu kuliko ukubwa wa Mungu, tunamwona Mungu kuwa mkubwa kuliko ugumu wa mazingira.

b. Dhamira ya Msingi : Dhamiria kuwa na wakati wa maombi ya kina kila siku.

4

c. Dhamira ya Juu : Dhamiria kuwa na wakati wa maombi kila siku asubuhi na jioni.

K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I

3. Uwezeshaji . (2 Kor 4:8-15) Kusudi letu ni kuwawezesha wengine, si sisi wenyewe.

Ukurasa wa 47  5

a. Badala ya kutafuta kuongeza wasifu wetu binafsi, tunafanya kazi ili kuwawezesha wengine.

b. Dhamira ya Msingi : Kujitoa kutengeneza kwa makusudi njia za fursa kwa ajili ya walengwa wa kazi yetu.

c. Dhamira ya Juu : Kudhamiria kuwa na mfumo wa utendaji kazi unaozingatia 1) kuelewa mahitaji ya

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker