Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 4 | MI ENENDO YA MA I SHA NA KAZ I YA KUPAMBANA NA UMASK I N I / 69

8. Kufunga . (Luka 5:33-35; Mdo. 13:2-3). Kazi yetu ya kupambana na umaskini mara nyingi hutufanya tutafute njia za kudhibiti mazingira magumu yanayotukabili. Kufunga kunatukumbusha kuwa hata linapokuja suala la chakula, tunamtegemea Mungu na kwamba Yeye anayetawala.

Ukurasa wa 49  10

a. Badala ya kutafuta udhibiti wa hali, tunafunga ili kukabiliana na hali za maisha.

b. Dhamira ya Msingi : Dhamiria kufunga (kutokula au kunywa kwa muda wa saa 24) kama nidhamu ya kuutiisha mwili na tamaa zake mara moja kwa juma.

c. Dhamira ya Juu : Dhamiria kufunga (kutokula chakula au kinywaji kwa muda wa saa 24) kama nidhamu ya kuutiisha mwili na tamaa zake mara mbili kwa juma.

C. Maelekezo ya mwisho

1. Kubali ukweli kwamba asili yetu ya dhambi inatuacha katika hatari ya kuwanyonya na wale wanaoishi katika umaskini.

4

2. Fanya upya nia yako kuelekea kuwa na mtazamo wa kiukombozi kama kichocheo cha kazi yako ya kupambana na umaskini.

K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I

Hitimisho Katika somo hili, Mienendo ya Maisha na Kazi ya Kupambana na Umaskini , tumeeleza kwa ufupi hekima ya kujihusisha na nidhamu za msingi za kiroho za Mapokeo Makuu ya Kanisa. Tunakualika kuweka dhamira ya dhati ya kushika nidhamu hizi muhimu katika maisha yako. Kujihusisha kwa uaminifu katika nidhamu hizi za kiroho kutafanyika njia ya kukabiliana na msukumo wa kujiingiza katika kazi hatarishi ya kupambana na umaskini, na pia kuwa kichocheo cha afya yako na ukuaji wako kama mkristo.

Ukurasa wa 49  11

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker