Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 1 | UONGOFU NA WI TO : NENO L I NALOUMBA / 87
b. Yakobo 1:21
2. Neno la Mungu ndilo chombo, mbegu isiyoharibika, ambayo huzaa maisha mapya ndani yetu kupitia imani yetu katika Yesu Kristo, 1 Pet. 1:22-23.
3. Injili inayomhusu Yesu na Ufalme wake haitokani na mwanadamu, bali “yenyewe ni Neno la Mungu,” 1 Thes. 2:13.
B. Uhai wa kiroho unaumbwa na Neno la Mungu lililo hai: tunaishi kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
1
1. Tunashikilia mtazamo huu juu ya mamlaka ya Yesu Kristo.
M A S O M O Y A B I B L I A
a. Majaribu ya Yesu
b. Nukuu ya Kumbukumbu la Torati: jukumu la pekee la Neno la Mungu, Kumb. 8:3, taz. Mt. 4:4
2. Neno la Mungu lina uchangamfu wa ajabu wa kiroho na uwezo wa kiuumbaji wa kuangaza rohoni, Zab. 19:7-11.
3. Hakuna sehemu yoyote ya Neno la Mungu inayopaswa kuchukuliwa kuwa haina maana au iliyopitiliza; kila nukta itatimizwa, wala haitapita hata moja.
4. Mungu anakataa kabisa kuvunja ahadi yake ya agano: Maandiko ni ya kuaminiwa kwa sababu Mungu ni mwaminifu.
a. 2 Wafalme 13:23
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker