Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

88 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

b. 1 Nyakati. 16:14-17

C. Mungu hutoa ufahamu wa Neno lake kwa kumtuma Roho wake Mtakatifu kwa waamini, 1 Kor. 2:9-16.

1. Asiyeamini (yaani, “mtu wa asili”) hana Roho Mtakatifu, na kwa hiyo hawezi kuelewa ujumbe au mafundisho ya Neno.

2. Mtu wa kiroho, (yaani, yule ambaye ana Roho Mtakatifu na anaongozwa naye), sio tu kwamba anaelewa kile ambacho Neno la Mungu linasema, lakini pia huepuka hukumu ya wale wanaoshindwa kuelewa.

1

M A S O M O Y A B I B L I A

3. Roho yule yule aliyevuvia Neno ndiye anayelifasiri, 2 Pet. 1:21.

II. Ishara ya Kweli ya Uanafunzi Ni Kuendelea Ndani na Kukaa Katika Neno la Mungu kama Lishe.

A. Dalili ya ufuasi wa kweli ni kuendelea na kudumu katika Neno la Kristo.

1. Yohana 8:31-32

2. “Kukaa” ni kuendelea kuwepo, mtu kufanya makao yake ndani ya-, kukaa ndani ya-, Zab. 1:1-3.

3. Maana ya kudumu ni sawa na dhana ya AK ya kutafakari.

a. Zab. 1:1-3

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker