Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi

1 7 8 / M T A A L A WA C O R N E R S T O N E M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I

anaweza kuchukuliana nasi kwa njia zisizo na kikomo kwa sababu anashiriki asili yetu. Bwana Yesu, kiuhalisia kabisa, ni jamaa yetu, na kwa hivyo, anaweza kutuchukulia katika kila eneo la udhaifu na mahitaji yetu. Uinjilisti na vita vya kiroho vinawezekana kwa sababu Bwana wetu ni mmoja wetu, akienda nasi, akichukuliana nasi, na kiuhalisia yuko pamoja nasi (Mt. 18:20; 28:20). Madhumuni ya Kujenga Daraja katika somo lako ni kukutanisha umakini na shauku ya wanafunzi wako na somo linalokaribia kuchambuliwa, kujadiliwa, na kushughulikiwa. Ni kuamsha katika akili na nia zao aina za maswali ambayo yatafanya kujifunza maarifa ya somo hili kuwe na umuhimu na manufaa. Kujenga Daraja huku kunakupa uhuru wa kupendekeza na kutengeneza kile uonacho kinafaa katika kipengele hiki; ikiwa unaweza kufikiria hali, matukio, changamoto, au visa halisi ambavyo vinaweza kuwagusa zaidi wanafunzi, tafadhali vitumie. Mifano hii imetolewa ili kukusaidia kutambulisha mada ya somo kwa kuwatayarisha wanafunzi kisaikolojia na kiakili kwa ajili ya mchakato wao wa kujifunza. Somo hili linakazia suluhu ambayo wokovu hutoa, ambayo kwa kweli inatatua tatizo. Tangu mwanzo unaona kwamba wokovu unafafanuliwa katika misingi ya ukombozi kutoka kwa nguvu za shetani na athari za Laana, na kwa hiyo, uinjilisti, kama tangazo na madhihirisho ya ukombozi huu, katika undani wake wenyewe tu ni vita vya kiroho. Kila wakati mtu anapompokea Bwana, vita inafanyika katika ulimwengu wa roho. Zingatia andiko hili katika Luka: Lk. 11:17-23 – Naye akajua mawazo yao, akawaambia, Kila ufalme uliofitinika wenyewe kwa wenyewe hufanyika ukiwa; na nyumba juu ya nyumba huanguka. 18 Basi, ikiwa Shetani naye amefitinika juu ya nafsi yake, ufalme wake utasimamaje? Kwa kuwa ninyi mnasema kwamba mimi natoa pepo kwa Beelzebuli. 19 Basi, kama mimi nikitoa pepo kwa Beelzebuli, wana wenu je! Huwatoa kwa nani? Kwa sababu hiyo, hao ndio watakaowahukumu. 20 Lakini, ikiwa mimi natoa pepo kwa kidole cha Mungu, basi ufalme wa Mungu

 4 Ukurasa wa 406 Kujenga Daraja

2

U T U M E K A T I K A M I J I

 5 Ukurasa wa 408 Muhtasari

Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online