Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi

M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I / 1 7 9

umekwisha kuwajilia. 21 Mtu mwenye nguvu aliyejifunga silaha zake, alindapo nyumba yake, vitu vyake vi salama; 22 lakini mtu mwenye nguvu kuliko yeye atakapomwendea na kumshinda, amnyang’anya silaha zake zote alizokuwa akizitegemea, na kuyagawanya mateka yake. 23 Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutawanya Zilizoorodheshwa katika sehemu hii ni kweli za msingi (yaani, malengo) zilizoandikwa kwa muundo wa sentensi ambazo wanafunzi walipaswa kuwa wamezipokea kupitia somo hili, yaani, kwa njia ya video na majadiliano yako pamoja nao. Hakikisha kwamba dhana hizi zimefafanuliwa vizuri na zimewekewa mkazo kwa umakini mkubwa, kwasababu, kazi zao za majaribio na mitihani zitachukuliwa kutoka kwenye dhana hizo moja kwa moja. Ni muhimu uhakikishe kwamba wanafunzi wanaelewa ukweli wa dhana hizi na baadhi ya matokeo yake muhimu zaidi. Kwa maneno mengine, muhtasari huu unawakilisha kiini cha kile unachotaka wanafunzi waelewe kutokana na somo, na kiini cha mawazo ambayo watapimwa kwayo. Hapa ndipo mahali unapolazimika kutumia maarifa yako mengi, mazungumzo, mapendekezo, na nyongeza kwenye somo. Kuwasaidia wanafunzi kuzingatia machaguo, athari, na matokeo ya somo bila shaka ni sehemu muhimu zaidi ya jukumu la mkufunzi na mshauri katika muktadha huu wa mafunzo ya pamoja chini ya mwongozo wa mkufunzi. Katika kuwasaidia wanafunzi wako kufikiria hali zao wenyewe, unaweza kubuni baadhi ya maswali au kutumia yale yaliyotolewa hapa chini kama tu njia ya kuchochea shauku yao. Kilicho muhimu hapa sio maswali yaliyoandikwa hapa chini, lakini ni kwako wewe, katika mazungumzo na wanafunzi wako, kutatua kada ya masuala kadha wa kadha, mashaka, maswali, na mawazo ambayo yanatokana moja kwa moja na uzoefu wao, kisha husianisha hayo na maisha na huduma zao.

 6 Ukurasa wa 413 Muhtasari wa Dhana Muhimu

2

U T U M E K A T I K A M I J I

 7 Ukurasa wa 414

Kutendea Kazi Somo na Matokeo yake kwa Mwanafunzi

Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online