Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi

1 8 0 / M T A A L A WA C O R N E R S T O N E M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I

Usisite kutumia muda mwingi kwa ajili swali fulani lililotokana na video, au jambo maalum ambalo linafaa hasa katika muktadha wa huduma wanazofanya wakati huu. Lengo la sehemu hii ni kuwawezesha kufikiri kwa kina na kitheolojia kuhusiana na maisha yao na mazingira ya huduma zao. Kwa mara nyingine, maswali yaliyopo hapa chini yametolewa kama miongozo na vichochezi tu, na hayapaswi kuonekana kama ya lazima. Chagua na uchukue kutoka katika hayo, au uje na maswali yako mwenyewe. Jambo la muhimu ni tija ya maswali hayo sasa, kwa muktadha wao na kwa maswali waliyo nayo. halisi au ya kufikirika. Mkazo hapa ni juu ya hekima, kupata uwezo wa kushughulika na kanuni halisi za Maandiko katika hali ambayo si lazima iwe wazi, ambayo inahitaji ujuzi na kutafakari, na kuwahamasisha wanafunzi kutumia mafundisho kama viongozi katika mazingira ambayo yana matokeo halisi. Kwa sababu hii, usijaribu kuifanya ionekane kana kwamba kuna jibu moja tu ambalo linakubalika kwenye mifano halisi mbalimbali. Bila shaka, mahali ambapo mazingira kama hayo yapo, tafadhali sisitiza. Hata hivyo, kwa kuwa mingi ya mifano halisi huruhusu idadi fulani ya “majibu sahihi,” lengo hapa ni kuwawezesha wanafunzi kutumia karama zao za kiroho na kiakili kupendekeza “njia zinazowezekana” kutoka kwenye mkanganyiko au maswala wanayokabiliana nayo. Hakikisha kwamba wanafunzi wanaelewa kazi ya wiki ijayo, hasa ile ya kuandika. Hii sio ngumu; lengo ni kwamba wasome maeneo waliyoagizwa vizuri kadiri wawezavyo na kuandika sentensi chache juu ya kile wanachodhani kimemaanishwa. Huu ni ujuzi muhimu wa kiakili kwa wanafunzi wako kujifunza, kwa hivyo hakikisha kwamba unawatia moyo katika mchakato huu. Hata hivyo, kama mtaala, kwa wale wanafunzi ambao kiwango chao cha kusoma kinawafanya waone shughuli hii ya usomaji kuwa changamoto au kwamba haziwezekani, jaribu kutafuta njia mbadala kwa ajili yao. Acha wanafunzi washirikiane wao kwa wao, au toa muhtasari mfupi wa mafundisho muhimu yatokanayo na kazi hizo baada ya wanafunzi kukabidhi karatasi zao za kazi za usomaji. Mifano halisi meundwa ili kutoa hali halisi au iliyobuniwa ambapo kanuni na dhana halisi za somo hufunuliwa katika mazingira

2

 8 Ukurasa wa 414 Mifano Halisi

U T U M E K A T I K A M I J I

 9 Ukurasa wa 417 Kazi

Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online