Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi

M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I / 4 7

• Kuwa sehemu ya jumuiya ya kanisa hukuwezesha kupokea huduma ya kichungaji, malisho/mafundisho mazuri, ushirika, na baraka. • Ni muhimu kwa Kazi ya Kiukombozi dhidi ya Umaskini kwa sababu taasisi kuu ya ukombozi kwa ulimwengu, ambayo tunaiona katika mafundisho ya Biblia, ni kanisa la mahali. • Kanisa ni taasisi iliyo hai ambayo inatakiwa kuwa kundi la watu walioitwa kuukomboa ulimwengu na kuwafundishwa watu kufanya yawapasayo ili kudumisha uhusiano wao na Mungu. Muda Maalumwa Maombi • Maombi hutufanya tuache kuona mazingira kuwa na ukubwa kuliko Mungu, badala yake tuone kwamba Mungu ni mkubwa kuliko mazingira. • Tunapaswa kuweka muda maalum wa kuomba kwa Bwana mara moja au mara mbili kwa siku ama katika kikundi au peke yetu. • Inaweza kuonekana kama usumbufu au kuvuruga siku yako, lakini kujikumbusha kuwa wewe ni wa Mungu haliwezi kuwa jambo la kuvuruga siku yako. Uwezeshaji • Hatujaribu kukuza ushawishi na wasifu wetu binafsi au ushawishi na wasifu wa shirika kupitia migongo ya wale tunaodai kuwahudumia. • Badala ya kutafuta kukuza wasifu wetu binafsi, tunafanya kazi ili kuwawezesha wengine. • Washirika wetu wa huduma ndio mashujaa. Ndiyo maana

 4 Ukurasa wa 66 Muhtasari wa Kipengele B, 2

4

K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I

 5 Ukurasa wa 66 Muhtasari B, 3

tunawahusisha wao katika video za World Impact na si wafanyakazi wa World Impact . Tunataka watu waone washirika wetu wakiwezeshwa kufanya kazi ya Bwana.

Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online