Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi
4 8 / M T A A L A WA C O R N E R S T O N E M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I
Kalenda ya Kanisa • Badala ya kutazama wakati katika mpangilio wake tu, tunatakasa wakati kwa kuunganisha hadithi yetu na hadithi ya Mungu kupitia Kalenda ya Mwaka wa Kanisa. • Hii ni namna ya kuitazama na kuitafsiri kila siku katika msingi wa Kristo. • Kutumia Kalenda ya Mwaka wa Kanisa hutusaidia kukumbuka kwamba, bila kujali kile kinachoweza kuwa kinatokea maishani na mioyoni mwetu katika mida na nyakati mbalimbali, tunataka kukumbuka hadithi ya Mungu kwa kuungamanisha maisha yetu na huduma zetu na hadithi ya Mungu. Sabato • Badala ya shughuli za utetezi zisizokoma, tunafuata utaratibu wa kazi na kupumzika. • Hili mara nyingi linakiukwa miongoni mwa watu wanaofanya huduma katika jamii zenye umaskini.
6 Ukurasa wa 67 Muhtasari wa Kipengele B, 4
7 Ukurasa wa 67 Muhtasari wa Kipengele B, 5
4
K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I
Wakati Binafsi • Badala ya maisha ya shughuli nyingi na usumbufu,
8 Ukurasa wa 68 Muhtasari wa Kipengele B, 6
tunachukua muda kuyaelekeza maisha yetu kumtii Mungu. • Pendekezo: chukua siku moja katika siku zako za kazi mara moja kwa mwezi kutafakari maisha yako, tafakari kazi yako, angalia yale yaliyotokea nyuma mwezi uliopita na upange mwezi ujao.
Utoaji wa Zaka • Badala ya kuhangaikia pesa, au kuabudu pesa, tunatoa kwa ukarimu.
9 Ukurasa wa 68 Muhtasari wa Kipengele B, 7
Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online