Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi

M W O N G O Z O WA M K U F U N Z I / 4 9

• Tambua unachopaswa kutoa na uvipe vyombo au taasisi zinazosaidia maskini kiuchumi. • Ifanye kuwa sehemu ya nidhamu yako binafsi kutoa rasilimali zako mwenyewe kwa kazi ya Bwana.

Kufunga • Badala ya kujaribu kutegemea akili kudhibiti mambo yanayotokea katika maisha yetu, tunafunga na kuomba. • Kufunga kwa mtazamo wa kibiblia ni kumkaribia Mungu. Na kwa sababu wewe upo karibu na Mungu, haijalishi nini kitatokea utaweza kukabiliana nacho. • Ni muhimu kufunga kuwe moja ya nidhamu binafsi katika mfumo wa afya yako. Ukiweza kutekeleza nidhamu mojawapo au nyingi katika hizi, haiwezekani ukampuuza Mungu. Huwezi kuwa mbali sana na Mungu ikiwa unafanya mambo kila mara ili kujikumbusha kwamba unatakiwa kuungamanishwa naye. Hizi ndizo nidhamu nane zinazoelekezwa katika Mapokeo Makuu (ambayo ni msingi wa nyenzo zote za TUMI). Sasa waruhusu wanafunzi watoe maoni yao juu ya kile kilichowasilishwa. Hapa kuna baadhi ya mada ambazo zinaweza kujadiliwa ikiwa unahitaji kuendeleza mjadala. (KUMBUKA: Hulazimiki kuzitumia. Ikiwa darasa lako linakwenda vizuri, waruhusu wanafunzi wajadili kwa uhuru). • Waulize wanafunzi jinsi walivyopata changamoto ya kuwa na muda binafsi/likizo. • Waulize wanafunzi kuhusu mazoea yao ya utunzaji wa mwili: wanapata usingizi wa kutosha, wanakula vizuri, wanafanya mazoezi, wanakunywa maji ya kutosha, n.k.?

 10 Ukurasa wa 69 Muhtasari wa Kipengele B, 8

4

 11 Ukurasa wa 69 Hitimisho

K A Z I Y A K I U K O M B O Z I D H I D I Y A U M A S K I N I

 12 Ukurasa wa 70 Maswali kwa Mwanafunzi na Majibu

Made with FlippingBook - professional solution for displaying marketing and sales documents online