Mungu Baba: Swahili Module 6 Mentor Guide

/ 8 9

M U N G U B A B A

3. Mtazamo wa Kapadokia

a. Kila Hypostases (nafsi) inaunda ousia (kiini) ya Mungu mmoja.

b. Kila mshiriki wa utatu ana sifa au tabia za kipekee kwake (k.m., watu binafsi katika jamii ya wanadamu ulimwenguni kote).

4. Mtazamo wa imani halisi ni wa kuamini Mungu mmoja, si miungu mitatu (yaani, imani kwamba Utatu unafundisha miungu watatu tofauti).

III. Tunamwamini Mungu: Sehemu Tatu za Ukiri wa Nikea (325)

A. Kanuni ya Imani ya Nikea inamkiri kila mshiriki wa Uungu Mtakatifu.

3

1. Tunamwamini Mungu Baba Mwenyezi – Baba ni Mungu.

2. Tunamwamini Yesu Kristo Bwana – Mwana ni Mungu.

3. Tunamwamini Roho Mtakatifu – Roho ni Mungu.

B. Haja ya kuthibitisha asili ya kweli ya Mungu mmoja, Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.

1. Thibitiisha umoja wa Mungu.

2. Thibitisha utofauti wa washiriki katika Utatu.

Made with FlippingBook - Share PDF online