Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
1 0 0 /
M U N G U B A B A
c. 1 Sam. 15:29
d. Ebr. 6:18
e. Ufu. 22:13
3. Mungu habadilishi Neno lake, wala tabia yake haibadiliki na kugeuka.
a. Yak. 1:17
b. Rum. 11:29
3
B. Madokezo kuhusu kudumu kwa Mungu
1. Mungu hazidishi wala hapunguzi sifa au tabia yake yoyote.
2. Neno la Mungu ni la kutegemewa na kuaminiwa kabisa; hawezi kudanganya na daima ataendelea kuwa mwaminifu kwa ahadi na maagano yake.
3. Sifa ya Mungu kama wa kudumu haipaswi kulinganishwa na wazo la Kiyunani la kutoweza hata kujongea (Mungu Baba Mwenyezi si kani tuli bali ni Baba mwenye upendo anayetenda na kuitikia katika uhusiano na watu wake).
4. Wakati Mungu hawezi kubadilika, vipi kuhusu tarifa za Biblia kuhusu Mungu kubadili mawazo yake?
Made with FlippingBook - Online catalogs