Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
/ 1 1 7
M U N G U B A B A
4. Madokezo kuhusu utakatifu wa Mungu
a. Utakatifu wa Mungu ndicho kiwango cha maisha yetu – tunapaswa kuakisi tabia yake ya kiadili katika shughuli na mahusiano yetu.
(1) Law. 11:44-45 (2) 1 Pet. 1:15-16
b. Mungu anastahili sifa, heshima, na furaha yetu. (1) 1 Nya. 16:10 (2) Ufu. 15:4
c. Mungu anadai utumishi wetu binafsi uliotakaswa, Zab. 93:5.
B. Mungu ni mwenye haki (haki ya Mungu inarejelea utakatifu wake unaotumika katika uhusiano wake na viumbe vingine), Zab. 48:10; 71:15; 97:2; 111:3.
4
1. Sheria ya Mungu ni ya haki, Zab. 19:7-9.
2. Matendo ya Mungu yanalingana na tabia yake.
a. Amu. 5:11
b. 1 Sam. 12:7
c. Zab. 145:17
Made with FlippingBook - Online catalogs