Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
1 1 8 /
M U N G U B A B A
3. Mungu ni kiwango chake mwenyewe cha mahusiano sahihi, na nafsi yake ni kiwango cha mapenzi yake mwenyewe.
a. Yer. 9:23-24
b. Yoh. 17:25
4. Madokezo kuhusu haki ya Mungu
a. Mungu hajawahii na hawezi kumkosea mtu au kitu chochote.
b. Siku zote njia za Mungu ni zenye manufaa, sahihi na za kusaidia.
c. Haki ya Mungu inapaswa kuleta ujasiri na tumaini.
4
C. Mungu ana hukumu ya haki (Mungu husimamiamambo yote ya ulimwengu na ulimwengu wake kulingana na mapenzi yake mema na sheria yake ya haki).
1. Mungu hana upendeleo katika shughuli zake, na hatoi heshima kulingana na matabaka au mionekano ya nje ya watu.
a. 2 Nya. 19:7
b. Yer. 32:19
c. Kol. 3:25
Made with FlippingBook - Online catalogs