Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
/ 1 3 9
M U N G U B A B A
f. Tito 2:14
g. 1 Pet. 1:18-19
h. 1 Yoh. 2:2
III. Kiini cha Mambo: Mche Mungu na Uzishike Amri Zake
A. Mche Mungu, Mhu. 12:13.
B. Ichukie dhambi, Mit. 8:13.
C. Shikamana na Kristo, Flp. 3:8.
4
D. Washirikishe wengine habari njema, Rum. 1:16-17.
Hitimisho
» Ghadhabu ya Mungu Baba Mwenyezi ni sifa ya kiadili ambayo kwa kawaida inahusishwa na ukali wa Mungu, na si wema wake. » Kinachoitwa mvutano kati ya wema wa Mungu na ukali wake ni tatizo zaidi la uchambuzi wetu wa asili ya Mungu kuliko mgogoro wowote katika Ukamilifu wa Mungu mwenyewe. » Ndani ya Mungu wetu mzuri sana, sifa zake zote za ajabu hudhihirisha wema na ukuu wake, upendo na haki yake, neema na kweli yake.
Made with FlippingBook - Online catalogs