Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
1 3 8 /
M U N G U B A B A
C. Kalvari kama kielelezo kikamilifu cha upendo na ghadhabu ya Mungu kwa wakati mmoja.
1. Kalvari ni kielelezo cha upendo wa Mungu kwa ulimwengu ulioanguka.
a. Yoh. 3:16
b. Rum. 5:8
c. 2 Kor. 5:19-21
d. 1 Yoh. 4:9-10
e. 1 Yoh. 4:19
4
2. Kalvari ni kielelezo cha ghadhabu ya Mungu dhidi ya dhambi ya mwanadamu.
a. Isa. 53:4-6
b. Rum. 3:24-26
c. 1 Kor. 6:20
d. 1 Kor. 7:23
e. Efe. 1:7
Made with FlippingBook - Online catalogs