Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook

2 2 8 /

M U N G U B A B A

Ufalme Wako Uje: “Hadithi ya Utukufu wa Mungu” (muendelezo)

3. Hadithi zinasalia kuwa za kikanoni (zenye mamlaka) kwa jumuiya ya kiimani ya Kikristo. 4. Mapokeo ya kikristo hutokea na kujipambanua zenyewe kupitia hadithi na kwa msingi wa hadithi. 5. Hadithi kuhusu Mungu hutangulia, huzalisha, na kuitia nguvu jamii ya watu wa Mungu . 6. Hadithi ya jumuiya huhusisha ukosoaji, karipio, na uwajibikaji . 7. Hadithi huzalisha theolojia nyingi. 8. Hadithi huzalisha ibada na sakramenti 9. Hadithi ni historia H. Umuhimu wa taswira ya kibiblia ya Ufalme 1. Fundisho la ufalme ndio rejea kuu. 2. Fundisho la hadithi ya ufalme ndio uliokuwa moyo wa mafundisho ya Yesu. 3. Hadithi ya ufalme ndiyo lengo kuu la theolojia ya Biblia. 4. Hadithi ya ufalme ni kigezo cha mwisho cha kupima kweli na maadili. 5. Hadithi ya ufalme hutoa ufunguo muhimu wa kuelewa historia ya mwanadamu. 6. Hadithi ya ufalme ni dhana ya msingi ya kibiblia ambayo hutuwezesha kuratibu na kutimiza hatima zetu chini ya utawala wa Mungu leo, pale tunapoishi na kufanya kazi.

II. Tua Da Gloriam : “Hadithi ya Utukufu wa Mungu”

Zab. 115:1-3 – Ee Bwana, kutukuza usitutukuze sisi, Bali ulitukuze jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako, Kwa ajili ya uaminifu wako. 2 Kwa nini mataifa kusema, Yuko wapi Mungu wao? 3 Lakini Mungu wetu yuko mbinguni, Alitakalo lote amelitenda.

Made with FlippingBook - Online catalogs