Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
/ 2 2 7
M U N G U B A B A
Ufalme Wako Uje: “Hadithi ya Utukufu wa Mungu” (muendelezo)
D. Vipengele vya mtazamo mpana wa ulimwengu katika msingi wa kibiblia 1. Kurejeshwa kwa “Hadithi za Kikristo” 2. Picha na Tamthilia : Kuanzia kabla hata Baaya ya wakati 3. Kuishi katika Ufalme wa Mungu uliopinduliwa: Kanuni Kinyume 4. Picha kubwa ya kifalsafa: Uwepo wa Wakati Ujao E. Vipengele vya mtazamo wa ulimwengu unaoongoza (Arthur Holmes) 1. Una lengo la jumla na Kamilifu . (Tulitoka wapi na tunaenda wapi?) 2. Ni mbinu ya kimtazamo . (Tunaona mambo kutokea mahali gani/ katika mtazamo upi?) 3. Ni ya mchakato wa kiuchunguzi . (Tunaendeleaje kuyaelewa maisha yetu?) 4. Ni jumuishi . (Ni yapi maoni mengine yanayopendekezwa na maono yetu ya pamoja?) F. Ajabu ya hadithi 1. Umuhimu wa (maisha) uzoefu wa mwanadamu 2. Thamani ya upendo wa mwanadamu 3. Matumizi ya fikra zilizotakaswa
4. Nguvu ya picha, matendo, na ishara halisi 5. Uharaka wa uhalisia au ukweli ulioimarishwa 6. Furaha ya ufundistadi wa kisanii G. Kauli muhimu kuhusu theolojia ya hadithi
William J. Bausch anaorodhesha kauli kumi zinazohusiana na theolojia ya hadithi ambazo zinatusaidia kuelewa umuhimu wa elimu ya hadithi na uelewa wa Biblia na theolojia. (William J. Bausch, Storytelling and Faith .
Mystic, Connecticut: Twenty-Third Publications, 1984). 1. Hadithi hututambulisha kwenye uwepo wa kisakramenti 2. Hadithi mara zote ni muhimu kuliko kweli za suala fulani
Made with FlippingBook - Online catalogs