Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook

2 3 0 /

M U N G U B A B A

Ufalme Wako Uje: “Hadithi ya Utukufu wa Mungu” (muendelezo)

4. Mji, hekalu, na kiti cha enzi, Zab. 48:1-3; 2 Nya. 7:14; 2 Sam. 7:8-. a. Wajibu wa nabii, kutangaza Neno la Bwana , Kum. 18:15. b. Wajibu wa kuhani, kumwakilisha Mungu na watu , Ebr. 5:1. c. Wajibu wa mfalme, kutawala kwa haki kwa niaba ya Mungu , Zab. 72. 5. Utumwa na Uhamisho, Daniel, Ezekiel, Maombolezo. 6. Kurejea kwa mabaki, Ezra, Nehemia. E. Utimilifu wa Wakati (Kufanyika mwili kwa Masihi Yeshua [Kristo Yesu]), Gal. 4:4-6. 1. Neno alifanyika mwili, Yoh. 1:14-18; 1 Yoh. 1:1-4. 2. Ushuhuda wa Yohana Mbatizaji, Mt. 3:1-3. 3. Ufalme umekuja katika nafsi ya Yesu wa Nazareti, Mk. 1:14-15; Lk. 10:9-11; 10:11; 17:20-21. a. Umefunuliwa katika nafsi yake, Yoh. 1:18. b. Umedhihirishwa katika kazi yake, Yoh. 5:36; 3:2; 9:30-33; 10:37 38; Mdo 2:22; 10:38-39. c. Umefafanuliwa katika ushuhuda wake, Mt. 5-7 4. Kufunuliwa kwa siri ya Ufalme, Mk 1:14-15. a. Ufalme tayari upo, Mt. 12:25-29. b. Ufalme bado haujakamilishwa, Mt. 25:31-46. 5. Mateso na kifo cha Mfalme aliyesulubiwa, Mt. 26:36-46; Mk 14:32 42; Lk 22:39-46; Yoh. 18:1-. a. Kuzivunja kazi za Shetani: Christus Victor , 1 Yoh. 3.8; Mwa. 3:15; Kol. 2:15; Rum. 16:20; Ebr. 2:14-15. b. Kufanya upatanisho kwa ajili ya dhambi: Christus Victum , 1 Yoh. 2:1-2; Rum. 5:8-9; 1 Yoh. 4:9-10; 1 Yoh. 3:16. c. Kuufunua moyo wa Baba, Yoh. 3:16; Tito 2:11-15.

Made with FlippingBook - Online catalogs