Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
2 5 4 /
M U N G U B A B A
K I A M B A T I S H O C H A 3 6 Kanuni ya Mbadala Mch. Dkt. Don L. Davis
Kisasili Hadithi Simulizi
Sitiari Tashihisi Taswira Ishara Utambulisho Mfano Kielelezoasili Tashbihi/ Vifananisho
Mfano Fumbo Kuigiza upya Taratibu za kiibada Liturujia Kumbukumbu Sikukuu
Mifanano Mifano Ulinganisho
Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu. ~ Zab. 23:1
Bwana
Mchungaji
Kama vile mchungaji alivyo kwa kondoo ndivyo Bwana alivyo kwa watu wake.
Viwango vya Kuhusiana 1. Uvuvio wa Roho Mtakatifu juu ya uhusianishaji. 2. Hazina ya kitamaduni ya mahusiano ili kuleta maana za kijamii. 3. Uhusiano wa kimisiolojia ili kuwasilisha ukweli. Kanuni za Uhusiano 1. Hakuna mfano uliokamili. 2. Uchaguzi wa vipengele vya kulinganisha ni muhimu. 3. Theolojia inachunguza yanayohusiana na yanayoweza kuhusianishwa. 4. Uhusianishaji wenye ubunifu unahitaji uelewa kamili wa picha na hadithi kuu.
Uchambuzi wa Ubadilishaji wa Kitaswira na Kimasimulizi 1. Mada kuu ya hotuba au wazo la kidini. 2. Picha au simulizi halisi inayotokana na hazina ya kitamaduni au hifadhi ya picha na hadithi. 3. Mfano-mfanano-ulinganisho wa vipengele vilivyochaguliwa au sifa za (2) ili kuangazia asili ya (1). 4. Uhusiano unaodokezwa au dhahiri, ulinganisho, na utambulisho wa vyote viwili kwa pamoja. 5. Uelewa na uzoefu mpya wa (1) kupitia uhusiano wake na utambulisho na (2) kuwakilisha ufahamu mpya.
Made with FlippingBook - Online catalogs