Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
/ 4 9
M U N G U B A B A
huyu wa chuo anawezaje kujibu madai ya mwalimu wake kuhusu Mungu kuwa viumbe vyote?
Mungu kama Muumbaji: Uangalizi na utunzaji wa Mungu Sehemu ya 1: Ukiri wa Nikea kuhusu Mungu Baba Mwenyezi
YALIYOMO
Mch. Dkt. Don L. Davis
Mungu Baba Mwenyezi, Muumba wa mbingu na nchi, ni mwenye enzi juu ya vyote alivyoviumba, ndiye chanzo cha uhai wote kila mahali, na hutegemeza vitu vyote kwa kazi yake kupitia Yesu Kristo. Yote ambayo Mungu hufanya anafanya ili Jina lake liweze kuinuliwa na kutukuzwa mbinguni na duniani mwote. Lengo letu kwa Sehemu hii, Ukiri wa Nikea kuhusu Mungu Baba Mwenyezi ni kukuwezesha kuona kwamba: • Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu, Baba Mwenyezi, ndiye mwenye mamlaka kuu na mtawala na mtegemezaji mkuu juu ya uumbaji na historia yote. • Ukweli kwamba Mungu ni Mungu wa “uangalizi na utunzaji” unamaanisha kwamba Yeye “hutimiza mapenzi yake makuu ulimwenguni ambamo matukio yote hupangwa naye ili kutimiliza makusudi yake kwa ajili yake na uumbaji kwa kusudi jema.” • Kama Bwana na Muumbaji, tutaona kwamba Baba ni Mwenye mamlaka juu ya yote, Chanzo cha yote, na Mtegemezaji wa yote kupitia Mwanawe, Yesu Kristo. • Mungu huviongoza na kuvielekeza vitu vyote katika namna ambayo anafanya kila kitu kitimize mapenzi yake kwa ajili yake mwenyewe, yote yakifanyika kwa utukufu na heshima yake.
Muhtasari wa Sehemu ya 1
2
I. Mungu Baba Mwenyezi ni Mwenye Enzi Juu ya Yote.
Muhtasari wa Sehemu ya 1 ya Video
A. Ni mwenye enzi juu ya uumbaji wote, 1 Tim. 6:15-16.
1. Baba aliumba mbingu na nchi, Zab. 33:6.
Made with FlippingBook - Online catalogs