Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
/ 5 1
M U N G U B A B A
3. Mungu ndiye anayeamua historia ya mataifa na watu mahususi, Mdo 17:26-28.
C. Anatawala juu ya kusudi na mpango wa wokovu
1. Katika uchaguzi wa watu wake, Israeli, Kum. 10:14-15
2. Mungu alipendezwa na Abrahamu na uzao wake.
a. Kum. 4:37
2
b. Kum. 7:7-8
3. Rehema inatokana na uchaguzi mkuu wa Mungu, si katika mapenzi ya mwanadamu, Rum. 9:13-18.
D. Yeye ni mwenye enzi na mamlaka juu ya hukumu na hatima ya mwisho.
1. Hukumu ya mwisho ni tendo liliko katika mamlaka ya Mungu mwenyewe, 2 Thes. 1:5-10.
2. Kutukuzwa ni urithi wa kundi teule la Mungu.
a. Ni furaha ya Mungu kuwapa ufalme wale waliokombolewa, Luke 12:32.
b. Waamini wamefanywa kuwa warithi wenza pamoja na Kristo, Rom. 8:16-17.
Made with FlippingBook - Online catalogs