Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
5 2 /
M U N G U B A B A
c. Mungu amewachagua maskini kama warithi wa Ufalme, Yakobo 2:5.
d. Wito wa Mungu kwa watu wake unahusisha urithi kutoka kwake, 1 Pet. 1:4-5.
II. Mungu Baba Mwenyezi ni Chanzo cha Yote
A. Ana uzima ndani yake mwenyewe, Exod. 3:14.
2
1. Baba anajitegemea katika uhai na uwepo wake (yaani, upaji wake umejengwa katika asili yake mwenyewe, hautegemei chochote cha nje yake), Yohana 5:26.
2. Hahitaji chochote kutoka kwa yeyote, Mdo. 17:25.
3. Yeye hafi (ndani yake mwenyewe mna uzima usio na mwisho)
a. 1 Tim. 1:17
b. 1 Tim. 6:16
4. Kipawa cha Mungu cha uzima kinatiririka kutoka katika asili yake yenye nguvu.
a. Zab. 36:9
b. Zab. 90:2
Made with FlippingBook - Online catalogs