Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook
5 4 /
M U N G U B A B A
1. Mungu aliumba ulimwengu kwa njia ya Yesu Kristo.
a. Mungu aliumba kila kitu kwa njia ya Neno, Yohana 1:3
b. Chimbuko na kusudi la vitu vyote ni katika uwezo wa uumbaji wa Kristo, Kol. 1:15-16.
c. Ebr. 1:2
2. Mungu ameendelea kutegemeza vitu vyote kwa njia ya Kristo.
2
a. Vitu vyote hushikamana katika yeye, Kol. 1:17.
b. Tunaishi kupitia utendaji wa Mungu kupitia Kristo, 1 Kor. 8:6.
C. Kazi zote za Mungu za uumbaji na kutegemeza hufanywa ili Jina lake lipate kuinuliwa na kutukuzwa.
1. 1 Nya. 29:11
2. Zab. 57:11
3. Zab. 72:18-19
4. Ufu. 4:11
5. Efe. 3:20-21
Made with FlippingBook - Online catalogs