Mungu Baba, Swahili Module 6 Student Workbook

5 8 /

M U N G U B A B A

d. Ni Mungu pekee ndiye atoaye uhai na pumzi kwa kila kitu, Mdo. 17:25.

4. Hakuna kitu au mtu anayeweza kudai kwa namna yoyote ile kwamba yupo huru na hamtegemei Mungu ambaye ni chanzo cha viumbe vyote.

a. Mungu huweka uhai duniani, Ayubu 12:10.

b. Mungu pekee ndiye chanzo cha uumbaji wetu na pumzi yetu, Ayubu 33:4.

Fundisho thabiti la Maandiko ni kwamba Mungu Baba Mwenyezi,

2

Muumba wa mbingu na nchi, wa vitu vyote viinavyoonekana na visivyoonekana ni Mungu mwenye enzi ambaye upaji

c. Mungu aliumba sayari na hutunza uhai wa viumbe vyote juu ya uso wa nchi, Isa. 42:5.

d. Ni katika Mungu pekee tunaenda na kuwa na uhai wetu, Mdo 17:28.

na utunzaji wake unagusa kazi zake

zote na viumbe vyake vyote. Hakuna chenye uzima nje yake, hakuna chenye uwezo

B. Umuhimu wa uhifadhi wa Mungu wa kila kitu ulimwenguni

wa kujitegemeza mbali na utunzaji wake, na hakuna

1. Vipi kuhusu mjadala wa mageuzi ? Je, mtu kuamini katika sayansi ya mageuzi ni kupingana na imani kwamba Baba Mwenyezi ndiye Muumba wa mbingu na nchi?

awezaye kuongeza muda wa uhai au uwepo wake hata kwa sekunde moja zaidi ya ukomo wa muda alioukusudia. Yeye ni Bwana wa uzima, na huhifadhi uhai wa vitu vyote kulingana na mapenzi yake mema.

a. Kusudi kuu la Biblia si kutoa maelezo ya kisayansi ambayo yatawaridhisha wasioamini uwepo wa Mungu, bali ni kumdhihirisha Baba Mwenyezi kama chanzo na mtegemezaji wa vitu vyote.

b. Waandishi wa Biblia walikuwa na makusudi tofauti na haya ya mijadala ya Karne ya 21 kuhusu vyanzo, lakini hii haimaanishi tupuuze mafundisho yao kuhusu ulimwengu.

Made with FlippingBook - Online catalogs