Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook

/ 1 0 5

M U N G U M W A N A

c. Tunaweza kuogopa kwamba hatatupokea tena.

d. Tunaweza kumlaumu Mungu kwa mambo mabaya yanayotupata sisi na wengine.

4. Kufa kwa Kristo kunaonyesha ni kwa kiasi gani Mungu anatupenda kweli na anatamani kuhusiana na sisi; kifo chake kinakuwa ushahidi wa wazi wa upendo wake na kisha kinaondoa visingizio vyote vya sisi kutomwendea.

5. Maandiko ya Biblia:

a. Yohana 15:13

3

b. Warumi 5:8

c. Waefeso 2:4-5

B. Hoja dhidi ya mtazamo wa Ushawishi wa Kimaadili :

1. Unafanya ionekane kana kwamba utakatifu na haki ya Mungu havihusishi kabisa ghadhabu.

2. Unaelekea kuwa wa kihisia kupita kiasi: “Laiti watu wangejua jinsi Mungu alivyowapenda, wote wangemkimbilia kwa mikono miwili!”

3. Unakuza sana maana ya upendo wa Mungu kiasi cha kutozingatia ukweli kuhusu utakatifu wake.

Made with FlippingBook - Online magazine maker