Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 1 1 1
M U N G U M W A N A
3. Tatizo letu: ni lazima tumrudishie Mungu tulichomwibia.
a. Tunapaswa kurejesha kile tulichochukua.
b. Zaidi ya kile tulichochukua , tumemjeruhi; Mungu anatudai fidia au malipo ya adhabu (malipo ambayo hutolewa kama faida juu ya deni la msingi ).
4. Suluhisho: tulipe sisi wenyewe ( kwa kuadhibiwa ) au Mungu akubali fidia kutoka kwa mwingine kwa ajili yetu.
5. Ni Mungu peke yake angeweza kulipa hata kukidhi utoshelevu huo: ni Mungu-mtu pekee ndiye angeweza kupokea adhabu yetu na kutoa fidia ya kutosha na stahiki kwa Mungu mwenyewe .
3
6. Msingi katika Maandiko:
a. Waebrania 2:17
b. Walawi 6:30
c. Warumi 5:10
d. Waefeso 2:16
e. Wakolosai 1:21
Made with FlippingBook - Online magazine maker