Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
1 4 4 /
M U N G U M W A N A
B. Kuja kwake kutakuwa katika mwili.
Tayari Ujio Wake wa Pili unatukaribia. ~ Cyprian (c. 250, W), 5.363. Ibid. uk. 606.
1. Litakuwa tendo la kimwili, si la kiroho au kiakili tu.
2. Matendo 1:11
3. Danieli 7:13-14
C. Kuja kwake kutaonekana.
1. Mathayo 24:30
2. Marko 13:26
4
3. 1 Thesalonike 4:16
4. 2 Theselonike 1:7-8
5. Ufunuo 1:7
D. Kuja kwake kutajawa na fahari, ukuu, na utukufu.
Atakapokuja kutoka mbinguni pamoja na malaika zake wenye nguvu, dunia yote itatikisika, kama Yeye Mwenyewe anavyotangaza. ~ Irenaeus (c. 180, E/W), 1.510. Ibid. uk. 606.
1. Luka 21:27
2. Atakuja juu ya mawingu kwa nguvu na utukufu mwingi (Mt. 24:30; Mk 13:26; Lk 21:27).
Made with FlippingBook - Online magazine maker