Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook

/ 1 4 9

M U N G U M W A N A

B. Watakatifu wa Mungu wataingia katika uhuru wa utukufu wa watoto wa Mungu.

1. Uumbaji mpya utatokea: uhuru mtukufu wa watoto wa Mungu.

a. Warumi 8:19-22

b. Isaya 65:17

c. 2 Petro 3:11-13

2. Mji mpya utafunuliwa: Yerusalemu Mpya

a. Maono ya Mtakatifu Yohana (Ufu. 21:1-5).

4

b. Makao ya Mungu yatashuka chini kukaa na wanadamu.

c. Ushirika usiokatizwa na huduma kwa Mungu katika utukufu wa uumbaji mpya.

3. Enzi mpya itapambazuka pamoja na utambulisho mpya: ushirika wetu katika Kristo.

a. 1 Wakorintho 2:9

b. Warumi 8:16-17

Made with FlippingBook - Online magazine maker