Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook

/ 1 9 5

M U N G U M W A N A

K I A M B A T I S H O C H A 2 2 Unabii wa Kimasihi Uliotajwa katika Agano Jipya Mch. Dr. Don L. Davis

Nukuu za AJ

Rejea ya AK

Kielelezo cha Kutimizwa kwa Unabii wa Kimasihi

1

Mt 1:23

Isa. 7.14

Kuzaliwa kwa Yesu wa Nazareti na bikira

2

Mt. 2:6

Mika 5:2

Kuzaliwa kwa Masihi huko Bethlehemu

Kwamba Yehova atamwita Masihi kutoka Misri, Israeli ya pili Raheli akiwalilia watoto wachanga waliouawa na Herode akitafuta kuharibu uzao wa Kimasihi Mahubiri ya Yohana Mbatizaji yanatimiza unabii kuhusu mtangulizi wa Kimasihi wa Isaya Huduma ya Yesu ya Galilaya inatimiza unabii wa Isaya wa nuru ya Masihi kwa Mataifa Huduma ya Yesu ya uponyaji inatimiza unabii wa Isaya kuhusu nguvu za Masihi za kuangamiza na kuponya Huduma ya uponyaji ya Yesu inathibitisha utambulisho wake kama Masihi mpakwa mafuta wa Yehova. Yesu anathibitisha utambulisho wa Yohana Mbatizaji kama mjumbe wa Yehova katika Malaki. Huduma ya Yesu ya uponyaji inatimiza unabii wa Isaya wa huruma ya Masihi kwa walio dhaifu. Kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku ndani ya tumbo la samaki, ndivyo Yesu angekaa ndani ya ardhi.

3

Mt. 2:15

Hos. 11:1

4

Mt. 2:18

Yer. 31:15

5

Mt. 3:3

Isa. 40:3

6

Mt. 4:15-16

Isa. 9:1-2

7

Mt. 8:17

Isa. 53:4

8

Mt. 11:14-15

Isa. 35:5-6; 61:1

9

Mt. 11:10

Mal. 3:1

10

Mt. 12:18-21

Isa. 42:1-4

11

Mt. 12:40

Yon. 1:17

12

Mt. 13:14-15

Isa. 6:9-10

Ubutu wa kiroho wa wasikilizaji wa Yesu

13

Mt. 13.35

Zab. 78:2

Masihi angewafundisha watu kwa mifano

14

Mt. 15:8-9

Isa. 29:13

Tabia ya kinafiki ya hadhira ya Yesu

Kuingia kwa ushindi kwa Masihi Mfalme katika Yerusalemu juu ya mwana punda

15

Mt. 21:5

Zek. 9:9

16

Mt. 21:9

Zab. 118:26-27

Hosana kwa Mfalme wa Yerusalemu

Kutoka katika vinywa cha watoto wachanga Bwana ametangaza wokovu

17

Mt. 21:16

Zab. 8:2

18

Mt. 21:42

Zab. 118:22

Jiwe walilolikataa waashi limekuwa Jiwe la Pembeni

19

Mt. 23:39

Zab. 110:1

Kutawazwa kwa Bwana wa Yehova

Made with FlippingBook - Online magazine maker