Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
1 9 6 /
M U N G U M W A N A
Prophéties messianiques citées dans le Nouveau Testament (muendelezo)
Nukuu za AJ
Rejea ya AK
Kielelezo cha Kutimizwa kwa Unabii wa Kimasihi
Mwana wa Adamu ajaye, wa unabii wa Danieli, si mwingine ila Yesu wa Nazareti
20
Mt. 24:30
Dan. 7:13
21
Mt. 26:31
Zek. 13:7
Mchungaji aliyepigwa na Bwana na kondoo kutawanyika
Yesu wa Nazareti ni utimilifu wa Mwana wa Kimasihi wa unabii wa Danieli Yesu atakuja katika mawingu ya mbinguni akiwa mtawala aliyeinuliwa wa Danieli
22
Mt. 26:64
Zab. 110:1
23
Mt. 26:64
Dan. 7:3
24
Mt. 27:9-10
Zek. 11:12-13
Masihi anasalitiwa kwa vipande thelathini vya fedha
Mpakwa mafuta wa Mungu anapewa divai iliyochanganyika na nyongo
25
Mt. 27:34-35
Zab. 69:21
26
Mt. 27:35
Zab. 22:18
Askari walipigia kura mavazi ya Masihi
27
Mt. 27:43
Zab. 22:8
Masihi anafanyiwa dhihaka na kejeli juu ya msalaba
28
Mt. 27:46
Zab. 22:1
Masihi aliyeachwa na Mungu kwa ajili ya wengine
Yohana Mbatizaji ni utimilifu wa unabii kuhusu mjumbe wa Bwana Yohana Mbatizaji ni sauti iliayo nyikani kuandaa njia ya Bwana Ubutu wa kiroho wa hadhira kuhusiana na ujumbe wa Masihi
29
Marko 1:2
Mal. 3:1
30
Marko 1:3
Isa. 40:3
31
Marko 4:12
Isa. 6:9
32
Marko 7:6
Isa. 29:13
Unafiki wa hadhira katika mwitikio wao kwa Masihi
Hosana inatolewa kwa kuingia kwa Masihi kama Mfalme Yerusalemu
33
Marko 11:9
Zab. 118:25
34 Marko 12:10-11
Zab. 118:25
Jiwe walilolikataa waashi limekuwa Jiwe Kuu la pembeni
Bwana amemtawaza Bwana wa Daudi katika kiti chake cha enzi katika Sayuni Yesu ndiye Mwana wa Adamu aliyetabiriwa ambaye atarudi katika utukufu katika mawingu Yesu ataachwa na walio wake, kwa maana mchungaji atapigwa na kondoo watatawanyika. Yesu ndiye Masihi, Mwana wa Adamu katika maono ya Danieli Mwana wa Adamu, ambaye ni Yesu, atakuja kutokea katika mkono wa kuume wa Yehova. Kura zinapigwa kwa ajili ya mavazi ya Masihi wakati wa mateso yake
35
Marko 12:36
Zab. 110:1
36
Marko 13:26
Dan. 7:13
37
Marko 14:27
Zek 13:7
38
Marko 14:62
Dan. 7:13
39
Marko 14:62
Zab. 110:1
40
Marko 15:24
Zab. 22:18
Made with FlippingBook - Online magazine maker