Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 1 9 7
M U N G U M W A N A
Prophéties messianiques citées dans le Nouveau Testament (muendelezo)
Nukuu za AJ
Rejea ya AK
Kielelezo cha Kutimizwa kwa Unabii wa Kimasihi
Masihi ameachwa na Mungu kwa ajili ya ukombozi wa ulimwengu
41
Marko 15:34
Zab. 22:1
42
Luka 1:17
Mal. 4:6
Yohana Mbatizaji atakuja katika nguvu na roho ya Eliya
43
Luka 1:76
Mal. 3:1
Yohana amtangulia Bwana kuandaa njia
44
Luka 1:79
Isa. 9:1-2
Masihi atawaangazia wakaao gizani
45
Luka 2:32
Isa. 42:6; 49:6
Masihi atakuwa nuru kwa Mataifa
Yohana ndiye sauti ya unabii wa Isaya inayolia jangwani kuandaa njia ya Bwana Yesu ni mtumishi wa Yehova, aliyepakwa mafuta na Roho wake ili kuleta habari njema za Ufalme Yesu anathibitisha utambulisho wa Yohana kama mtayarishaji wa njia ya Bwana Yesu, kwa kuingia kwake Yerusalemu, anatimiza unabii wa Kimasihi wa Mfalme wa Israeli Yesu ni Jiwe la Bwana ambalo waashi walilikataa, ambalo limekuwa Jiwe Kuu Daudi anamwita bwana wake Masihi na Bwana, ambaye ametawazwa katika Sayuni na Yehova Ubutu wa wasikilizaji kwa Masihi Yesu
46
Luka 3:4-5
Isa. 40:3
47
Luka 4:18-19
Isa. 61:1-2
48
Luka 7:27
Mal. 3:1
49
Luka 8:10
Isa. 6:9
50
Luka 19:38
Zab. 118:26
51
Luka 20:17
Zab. 118:26
52 Luka 20:42-43
Zab. 110:1
53
Luka 22:37
Isa. 53:12
Masihi anawekwa kati ya wahalifu
Yesu atarudi akitokea katika mkono wa kuume wa Mungu, mahali ambapo ameketishwa
54
Luka 22:69
Zab. 110:1
55
Luka 23:34
Zab. 22:18
Kura zinapigwa kwa ajili ya mavazi ya Masihi
Mahubiri ya Yohana ni utimilifu wa unabii wa Isaya kuhusu mtangulizi wa Masihi
56
Yohana 1:23
Isa. 40:3
57
Yohana 2:17
Zab. 69:17
Shauku ya nyumba ya Bwana itamla Masihi.
Wale wote ambao Mungu anawafundisha watakuja kwa Masihi
58
Yoh 6:45
Isa. 54:13
Zab. 89:4; Mika 5:2
59
Yohana 7:42
Masihi, uzao wa Daudi, atatoka Bethlehemu
60 Yohana 12:13
Zab. 118:25-26 Hosana hupewa Mfalme Masihi wa Israeli mwenye ushindi
Mfalme wa Israeli anaingia Yerusalemu juu ya mwana punda Kama Isaya alivyotabiri, ni wachache walioamini ujumbe wa Yehova kuhusu mpakwa mafuta wake
61 Yohana 12:15
Zek. 9:9
62 Yohana 12:38
Isa. 53:1
Made with FlippingBook - Online magazine maker