Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
1 9 8 /
M U N G U M W A N A
Prophéties messianiques citées dans le Nouveau Testament (muendelezo)
Nukuu za AJ
Rejea ya AK
Kielelezo cha Kutimizwa kwa Unabii wa Kimasihi
Isaya aliona utukufu wa Masihi na akazungumza juu ya ubutu wa wasikilizaji wake Kusalitiwa kwa Masihi na mmoja wa wafuasi wake wa karibu
63 Yohana 12:40
Isa. 6:10
Yohana 13:18; rej. 17:12
64
Zab. 41:9
65 Yohana 15:25 Zab. 35:19; 69:4
Masihi atachukiwa bila sababu
66 Yohana 19:24
Zab. 22:18
Mavazi ya Masihi yatagawanywa
67 Yohana 19:28
Zab. 69:21
Masihi atapewa divai juu ya msalaba
Kut. 12:46; Hes. 9:12; Zab. 34:20
68 Yohana 19:36
Hakuna mfupa hata mmoja wa Masihi utakaovunjwa
69 Yohana 19:37
Zek. 12:10
Taifa la Israeli lililotubu litamtazama yule waliyemchoma
70
Mdo 1:20
Zab. 69:25; 109:8
Nafasi ya Yuda inapaswa kuchukuliwa na mwingine
Roho atamwagwa katika siku za mwisho juu ya wote wenye mwili
71
Mdo 2:16-21
Yoeli 2:28-32
72
Mdo 2:25-28
Zab. 16:8-11
Masihi hangeweza kuoza au kuharibika katika Kaburi
Masihi anaketishwa mkono wa kuume wa Yehova hata adui zake wapigwe na kushindwa
73
Mdo 2:34-35
Zab. 110:1
74
Mdo 3:22-23 Kumb. 18:15, 19
Mungu atawainulia watu nabii kama Musa
Mataifa yote ya dunia yatabarikiwa katika uzao wa Abrahamu Masihi Yesu ndiye jiwe lililokataliwa ambalo Mungu amelifanya kuwa jiwe kuu la pembeni BWANA ataucheka upinzani anaopewa na mataifa, Yeye na Mpakwa mafuta wake
75
Mdo 3:25
Mwz 22:18
76
Mdo 4:11
Zab. 118:22
77
Mdo 4:25
Zab. 2:1
78
Mdo 7:37
Kumb. 18:15
Bwana atawapa Israeli nabii kama Musa
79
Mdo 8:32-33
Isa. 53:7-9
Masihi Yesu ndiye Mtumishi wa Yehova Atesekaye
Mungu ametimiza ahadi kwa Israeli kwa kumfufua Yesu katika wafu
80
Mdo 13:33
Zab. 2:7
81
Mdo 13:34
Isa. 53:3
Masihi Yesu ni utimilifu wa rehema za hakika za Daudi
82
Mdo 13:35
Zab. 16:10
Masihi hangeona uharibifu kaburini
Kupitia kwa Paulo, ujumbe wa Masihi unafanyika nuru kwa mataifa Mbari ya Daudi inarejeshwa kwa njia ya Yesu, na mataifa wanakaribishwa katika Ufalme.
83
Mdo 13:47
Isa. 49:6
84 Mdo 15:16-18
Amosi 9:11-12
Made with FlippingBook - Online magazine maker