Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 1 9 9
M U N G U M W A N A
Prophéties messianiques citées dans le Nouveau Testament (muendelezo)
Nukuu za AJ
Rejea ya AK
Kielelezo cha Kutimizwa kwa Unabii wa Kimasihi
85
Rum. 9:25-26
Hos. 2:23; 1:10
Mataifa wanafanyika watu wa Mungu
Masihi anafanyika jiwe la kujikwaa kwa wale wanaoukataa wokovu wa Mungu.
86 Rum. 9:33; 10:11
Isa. 28:16
87
Rum. 10:13
Yoeli 2:32
Kila aliitiaye jina la Bwana ataokolewa
88
Rum. 11:8
Isa. 29:10
Israeli kwa kutokuamini imekuwa ngumu kwa Masihi
89
Rum. 11:9-10
Zab. 69:22-23
Hukumu imekuwa ngumu juu ya Israeli
90
Rum. 11:26
Isa. 59:20-21
Mkombozi atakuja kutoka Sayuni
91
Rum. 11:27
Isa. 27:9
Msamaha wa dhambi utatolewa kupitia Agano Jipya
92
Rum. 14:11
Isa. 45:23
Wote hatimaye watahukumiwa na Yehova
Watu wa mataifa mengine kumsifu Mungu kwa njia ya imani katika Masihi
93
Rum. 15:9
Zab. 18:49
94
Rum. 15:10
Kumb. 32:43
Mungu kupokea sifa kutoka kwa mataifa
95
Rum. 15:11
Zab. 117:1
Watu wa dunia wanamtukuza Mungu
96
Rum. 15:12
Isa. 11:10
Watu wa mataifa watalitumaini shina la Yese
97
Rum. 15:21
Isa. 52:15
Habari Njema itahubiriwa kwa wale wasio na ufahamu
Vitu vyote viko chini ya miguu ya Kichwa, Mwakilishi wa Mungu
98
1 Kor. 15:27
Zab. 8:7
99
1 Kor. 15:54
Isa. 25:8
Kifo kitamezwa kwa ushindi
100
1 Kor. 15:55
Hos. 13:14
Kifo siku moja kitapoteza uchungu wake kabisa
101
2 Kor. 6:2
Isa. 49:8
Sasa ndio siku ya wokovu kupitia imani katika Masihi Yesu
102
2 Kor. 6:16
Eze. 37:27
Mungu atakaa na watu wake
Hos. 1:10; Isaya 43:6
103
2 Kor. 6:18
Wamwaminio Masihi Yesu ni wana na binti za Mungu
Maandiko, kwa kule kutangulia kuona kuhesabiwa haki kwa mataifa kwa imani, yalihubiri Injili tangu zamani kwa njia ya ahadi ya Ibrahimu, ya kwamba katika mzao wake mataifa yote yatabarikiwa.
Mwanzo 12:3; 13:15; 17:8
104
Gal. 3:8, 16
105
Gal. 4:27
Isa. 54:1
Yerusalemu ni mama yetu sote
Amani ya Masihi Yesu inahubiriwa kwa Wayahudi na Wamataifa Masihi katika kupaa kwake ameshinda na kutoa vipawa kwetu sote kwa neema yake
106
Efe. 2:17
Isa. 57:19
107
Efe. 4:8
Zab. 68:18
Made with FlippingBook - Online magazine maker