Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
2 0 0 /
M U N G U M W A N A
Prophéties messianiques citées dans le Nouveau Testament (muendelezo)
Nukuu za AJ
Rejea ya AK
Kielelezo cha Kutimizwa kwa Unabii wa Kimasihi
Isa. 26:19; 51:17; 52:1; 60:1
108
Efe. 5:14
Kuzaliwa upya kumetokea; nuru ya Bwana imetuangazia
109
Ebr. 1:5
Zab. 2:7
Masihi ni Mwana wa Mungu
110
Ebr. 1:5
2 Sam. 7:14
Masihi Yesu ni Mwana mpakwa-mafuta wa Mungu
111
Ebr. 1:6
Kumb. 32:43
Malaika walimwabudu Masihi alipoingia ulimwenguni
Yehova anamtaja Masihi Yesu moja kwa moja kama Mungu
112
Ebr. 1:8-9
Zab. 45:6-7
113
Ebr. 1:10-12
Zab. 102:25-27 Mwana ni wakala wa uumbaji wa Mungu na ni wa milele
114
Ebr. 1:13
Zab. 110:1
Masihi Yesu ameketishwa mkono wa kuume wa Baba
115
Ebr. 2:6-8
Zab. 8:4-6
Vitu vyote vimetiishwa chini ya mamlaka ya Mwana
116
Ebr. 2:12
Zab. 22:22
Masihi ni ndugu wa wote waliokombolewa
117
Ebr. 2:13
Isa. 8:17-18
Masihi kuweka tumaini lake kwa Yehova
118
Ebr. 5:5
Zab. 2:7
Masihi ni Mwana wa Mungu
119
Ebr. 5:6
Zab. 110:4
Masihi ni Kuhani wa milele mfano wa Melkizedeki
120 Ebr. 7:17, 21
Zab. 110:4
Masihi Yesu ni Kuhani Mkuu wa milele
121
Ebr. 8:8- 12
Yer. 31:31 -34
Agano jipya limefanyika kwa damu ya Yesu.
Kifo cha Masihi Yesu kinachukua nafasi ya mfumo wa upatanisho kwa dhabihu za Hekalu
122
Ebr.10:5-9
Zab. 40:6
123
Ebr. 10:13
Zab. 110:1
Yehova amemtawaza Masihi Yesu kuwa Bwana
Roho Mtakatifu anashuhudia kwa habari ya utoshelevu wa Agano Jipya
124 Ebr. 10:16-17
Yer. 31:33-34
125 Ebr. 10:37-38
Ebr. 2:3-4
Yeye ajaye atakuja muda kitambo
126
Ebr. 12:26
Hag. 2:6
Mbingu yote na nchi yote pia vitatikiswa
127
1 Pet. 2:6
Isa. 28:16
Mungu ameweka Jiwe Kuu la Pembeni katika Sayuni
128
1 Pet. 2:7
Zab. 118:22
Jiwe walilolikataa waashi, Limekuwa Jiwe Kuu la pembeni
129
1 Pet. 2:8
Isa. 8.14
Masihi ni jiwe la kujikwaa kwa wale wasioamini
Kupitia kwa Masihi, mataifa sasa wamealikwa kuwa watu wa Mungu Yesu, Masihi asiye na dhambi alitolewa dhabihu kwa ajili yetu
130
1 Pet. 2:10
Hos. 1:10; 2:23
131
1 Pet. 2:22
Isa. 53:9
Made with FlippingBook - Online magazine maker