Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 2 0 1
M U N G U M W A N A
K I A M B A T I S H O C H A 2 3 Maadili ya Agano Jipya Kuishi kwa kugeuka chini - Katika ufalme wa Mungu Mch. Dkt. Don L. Davis
Kanuni ya kurudi nyuma
Kanuni iliyodhihirishwa
Maandiko
Masikini watakuwa matajiri na matajiri watakuwa masikini
Luka 6.20-26
Wavunja sheria na wasiostahili wanaokolewa
Mat 21.31-32
Wanaojinyenyekeza watainuliwa
1 Pet 5.5-6
Wajikwezao watadhiliwa
Luka 18.14
Vipofu watapewa kuona
Yohana 9.39
Wanaodai kuona watakuwa vipofu
Yohana 9.40-41
Tuliwekwa huru kwa kuwa watumwa wa Kristo
Rum 12.1-2
Mungu amechagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima
1 Kor 1.27
Mungu amevichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu
1 Kor 1.27
Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko
1 Kor 1.28
Tutaupata ulimwengu ujao kwa kuupoteza huu
1 Tim.6.7
Penda maisha haya na utayapoteza, chukia maisha haya utayapata yajayo.
Yohana 12.2
Uliwekwa mkuu kwa kuwa mtumwa kwa wote
Mat 10.42-45
Jiwekee hazina yako juu, utapata thawabu ya mbinguni
Mat 6.19
Jiwekee hazina yako juu, utapata utajiri wa mbinguni
Mat 6.20
Kubali kifo chako kwa nafsi yako uishi kikamilifu
Yohana 12.24
Kataa sifa zote za dunia ili kupata fadhila za mbinguni
Flp 3.3-7
Mtu wa kwanza atakuwa wa mwisho, na wa mwisho atakuwa wa kwanza
Marko 9.35
Neema ya Yesu hutimilika katika udhaifu wako, sio kwa uweza wako
2 Kor 12.9
Dhabihu za Mungu ni kupondeka na kuvunjika
Zab 51.17
Ni heri kutoa kuliko kupokea
Matendo 20.35
Toa vyote ulivyonavyo ili upokee vya Mungu vilivyo bora.
Luka 6.38
Made with FlippingBook - Online magazine maker