Mungu Mwana, Kitabu cha Mwanafunzi, Capstone Module 10 Swahili Student Workbook
/ 2 0 5
M U N G U M W A N A
Muhtasari wa Tafsiri za Kimasihi katika Agano la Kale (muendelezo)
Rejea ya Biblia
Muhtasari wa Tafsiri za Kimasihi
UKK DAJ
EAJ MWK
Chipukizi zuri na tukufu la BWANA litakuwa fahari ya mabaki ya Israeli
33
Isaya 4:2-6
X
Bikira atachukua mimba na kuzaa mwana na jina lake litaitwa Imanueli
34
Isa. 7:14-15
X X
Masihi anangoja wakati wa kuja kwake, na yeye na watoto wake ni ishara na maajabu katika Israeli
35
Isa. 8:17-18
X X
Masihi ataleta nuru katika Galilaya na mmoja ataketi katika kiti cha enzi cha Daudi ili kuleta ufalme wa Mungu katika haki na adili.
36
Isa. 9:1-7
X X
X
Chipukizi la shina la Yese litajazwa Roho wa Bwana, na kuleta duniani ufalme wa haki na amani.
37
Isa. 11:1-16
X X X X
Watu waliokandamizwa wataitegemea nyumba ya Daudi kwa ajili ya haki na fadhili zenye upendo
38
Isa. 16:5
Mungu ataweka katika Sayuni Jiwe lililojaribiwa, Jiwe la Pembeni la thamani
39
Isa. 28:16
X X X X
Watu wa Mungu watamwona Mwalimu wao wa kiungu na watafurahia baraka zake nyingi kwa sababu ya kumsikiliza
40
Isa. 30:19-26
X
Kiongozi wa siku zijazo atakuwa kimbilio wakati wa dhoruba, kama maji mahali pakavu
41
Isa. 32:1-2
Macho ya watu wa Mungu yatamwona Mfalme katika uzuri wake
42
Isa. 33:17
Mtumishi wa BWANA atawatolea mataifa haki, naye atakuwa agano kwa watu, na nuru ya mataifa.
43
Isa. 42:17
X
X X
Mtumishi wa BWANA ameteuliwa na Mungu kufundisha, kuinua kabila za Yakobo, na kuwa Nuru kwa Mataifa.
44
Isa. 49:1-13
X
X
Mtumishi wa Yehova ni mfuasi mtiifu anayevumilia mateso na kudharauliwa
45
Isa. 50:4-11
X
Mtumishi wa Mungu anakataliwa, anateseka sana kwa ajili ya dhambi za wengine, anakufa, lakini anauona uzao wake na kuridhika.
46 Isa. 52:13-53:12
X X X X
Mwana wa Daudi atafanywa kuwa Shahidi, Kiongozi, na Jemadari kwa ajili ya mataifa
47
Isa. 55:3-5
X
48
Isa. 59:20-21
Mkombozi atakuja katika Sayuni iliyokutubu
X
X
Made with FlippingBook - Online magazine maker